Sunday, 12 May 2013

WEMA SEPETU ANGUKIA KWENYE PENZI LA RAHEEM

 HUYU NDIYE MCHUMBA MPYAAA WA WEMA SEPETU Anajulikana kwa jina la Raheem amabye ni Mtangazaji wa Times Fm ambaye pia mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar-Es Salaam. Kama utakuwa unakumbukumbu ni yule aliye wah kutoka kwenye tangazo fulani la tigo

No comments:

Post a Comment