Msanii
Jaguar Kutoka Kenya anae fahamika kupitia Nyimbo Kama Kigeugeu na
Kipepeo Amesema ulinzi alionao kwa sasa unamsaidia kufanya mambo yake
vizuri zaidi. Walinzi wanaharakisha mambo na kumuweka salama muda wote
anapokuwa kwenye issue zake. Jaguar amesema muda mwingine anazungukwa na
mashabiki kitu ambacho anapenda ila sio kila mtu ni shabiki wake pia
humu kuna madui na watu wasiompenda. Chochote kinaweza kutokea kwake
sababu yeye ni mtu maarufu kama msanii au mwana siasa pale Kenya. Na
Swali kama ni walinzi wake , Jibu Ni Yes Ni Walinzi anao watumia akiwa
kwenye shughuli kubwa zenye watu wengi.
pichani katikati ni Jaguar
No comments:
Post a Comment