STEVE R&B ATEMBLEA NCHI MBALIMBALI ILI KUJIPA SHAVU MWENYEWE
STEVE R&B PICHANI AKIWA KATIKA MOJA YA SAFARI ZAKE ZA NJE
Steve
RnB ni mmoja wa wasanii ambae ametembea sana Europe mwaka huu. Mpaka
sasa hivi ametembelea nchi sita :Germany ,Austria ,Belgium ,Holland,
United Kingdom,na Turkey.
No comments:
Post a Comment