Tuesday, 14 May 2013

BAADA YA PIRIKA ZA APA NA PALE LADY JAYDEE AENDA KENYA

LADY JAYDEE Kukimbilia Kenya

Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kihama nchi yake hii na kuelekea nchi jirani ya Jamhuri ya watu wa KENYA ...
Jide anafikiria kwenda kuomba uraia huko ama MALAWI katika kuonekana kutaka kujinasua kutoka katika jambo fulani ...
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika @JideJaydee "Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?...

No comments:

Post a Comment