Saturday, 25 May 2013

HUYU NDIYE MSHIRIKI WA BBA 2013 KUTOKA BONGO

Huyu ndiye mshiriki wa BBA 2013 Ambae aliwahi  mshiriki  Miss Dar city centre 2005 pia aliwahi kuwa MISS Ilalacheki hapa...


feza-kessy
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye  blog ya Zeddylicious, na mitandao mingine mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013


Miss Fezza Kessy ndiye mwakilishi kutoka Tanzania atakaye tuwakilisha katika mashindano ya Big Brother Africa 2013.
Big Brother Africa 2013 itaanza tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa.

Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net.
Watanzania wanaombwa watoe full support kwa mshiriki wetu Fezza Kessy.

No comments:

Post a Comment