Jengo
la ghorofa Tatu linalomilikiwa na kanisa la FourSquare Gospel Church
huko Ojodu -Berger katika jiji la Lagos nchini Nigeria limeanguka na
kufukia wafanyakazi kadhaa waliokuwa wanaendelea na ujenzi katika jengo
hilo.Kisosi cha waokoaji mpaka sasa kimefanikiwa kuokoa mfanyakazi
mmoja, huku wengine wanne wakiwa bado wamefukiwa ndani ya jengo hilo.
Msemaji wa Shirika la Taifa la Dharura na usimamizi (NEMA) Bw Ibrahim Farinloye amesema wakati kazi ya uwaokoaji ikiendelea katika jengo hilo, majengo mengine wawili yameporomoka huko Bariga na Ikorodu Lagos.Wavulana wawili waliokolewa katika majengo hayo yaliyoanguka.

Zifuatazo ni picha za ghorofa hiyo
.
No comments:
Post a Comment