MAADHUMISHO YA MFUKO WA JAMII YAONGOZWA NA RAISI JK KIKWETE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau na
viongozi wa mifuko ya hifadhi ya jamii wakati wa kilele cha maadhimisho ya
wiki ya Mifuko hifadhi ya ya jamii iliyofanyika mjini Dodoma leo yeye akiwa kama mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment