Tuesday, 7 May 2013

WAZIRI MKUU AWATEMBELEA MAJERAUHI WA MABOMU WA ARUSHA

Waziri mkuu Mh Mzengo Pinda amewatembelea majeruhi wa mabomu wa arusha katika hospitali ya Mkoa ya Mount Meru.


** *Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole baadhi ya majeruhi wa bomu la kutupwa kwa mkono lililolipuka katika kanisa Katoliki la Olasiti Arusha wakati alipowatembelea kwenye hospitali ya mkoa wa wa Arusha, Mount Meru.

No comments:

Post a Comment