Thursday, 23 May 2013

NENO LA DIVA KWA PREZZOO


Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail.” BK0-lgUCMAAGcQr
Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM, Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:
3e8012f6c39f11e290d222000a9e0851_7

No comments:

Post a Comment