BREAKING NEWZ: VURUGU ZATOKEA MTWARA
Breaking
News:Huduma mbalimbali za kijamii Mjini Mtwara zimesimama tangu asubuhi
kutokana na vipeperushi vilivyokuwa vimesambazwa mjini humo vya kutaka
wanachi kutofanya shughuli yoyote ili kupata fursa ya kusikiliza hotuba
ya makadirio ya bajeti ya wizara ya Nishati na Madini ili kufahamu ni
kwa jinsi gani Mtwara itanufaika na uchimbaji wa gesi.
No comments:
Post a Comment