Saturday, 4 May 2013

RAIS WA TANZANIA AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI TANDAU

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh JK Kikwete ameongoza mazishi ya waziri wa zamani wa Kazi Marehemu Balozi Alfred Tandau katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es salam

** *Pichani ni Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania akikamilisha shughuli ya mazishi katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es salaam. .

No comments:

Post a Comment