Pambalo la watani wa jadi Simba na Yanga la Ligi Kuu ya Vodacom
lililochezwa jana (Mei 18 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam na kumalizika kwa mabingwa wapya Yanga kushinda mabao 2-0
limeingiza sh. 500,390,000.
Mechi hiyo namba 180 ambayo ilikuwa kati ya saba la kuhitimisha ligi hiyo msimu wa 2012/2013 ilishuhudiwa na watazamaji 57,406 waliokata tiketi kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000, sh. 20,000 na sh. 30,000.
Kila klabu imepata mgawo wa sh. 123,970,927.45 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 76,330,677.97.
Kiingilio cha sh. 5,000 ndicho kilichovutia watazamaji wengi ambapo…

No comments:
Post a Comment