MAJAMBAZI WAPORA NA KUUWA
Majambazi yapora na kuua
Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache
uliopita na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa
11:16 jioni inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi
la Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia,
alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo
aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja
alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha
pesa.
Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao
.
No comments:
Post a Comment