Wednesday, 15 May 2013

KAULI YA LADY JAYDEE AMBAYO INAWAPA MASHAKA WATU

Lady Jaydee katika mtanda wa kijamii wa twitter aibuka na kuandika kauli ambayo imewashangaza sana watu.

Embedded image permalink




Staa wa bongo mwanadada Lady  Jay Dee jana kuptia ukurasa wake wa twitter ameandika  kutaka kihama nchi yake hii na kuelekea nchi jirani ya ya Kenya au malawi

Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika hivi

Lady JayDee @JideJaydee
Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?


No comments:

Post a Comment