Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya..
Umati
wa wananchi wa mkoa wa Arusha wakiwa njiani kuelekea kuangalia ndugu na
jamaa zao waliokuwamo kwenye ibada hiyo inasadikika majeruhi zaidi ya
thelathini na watano wapo hospitali huku kukiwa hakuna taarifa ya vifo.
Kanisa
lililolipuliwa likiwa linaonekana kwa mbali huku wananch wakilitazama
kwa mbali kutokana na tishio la kutokea kwa milipuko mingine ...Mtu
mmoja amekamatwa kuhusiana na tukio hilio wakati wengine wanasadikika
kukimbia.
Waumini
pamoja na baadhi ya wanacchi wakiwa katika hali ya taharuki wasiamini
nini kilichotokea kutokana na mlipuko mkubwa uliotokea asubuhi ya leo.
No comments:
Post a Comment