Bado kuna utata juu ya TOUR Jay- Z kuja Bongo, kuna uwezekano asije kabisa. Shuka nayo hapa.........
Bado wataalam wa mambo wanaendelea
kutofautiana kuhusu ratiba ya Tour ya Jay – z iliyotolewa na Billboard
hivi karibuni katika ratiba hiyo imeandikwa Jay z atatua katika miji 7
ya Africa ikiwemo jiji la Dar es salaam Oktoba 4 mwaka huu pale Diamond
Jubilee. Ratiba hiyo inatia shaka kwa sababu Jay z aliperform tarehe na
mwezi kama huo Dar es salaam mwaka 2006 na katika website ya Jay za
ametoa ratiba ya Tour zake laini ameishia kuandika mwezi Septemba
hajaandika mpaka Oktoba kama walivyoandika Billboard.
No comments:
Post a Comment