Wednesday, 22 May 2013

RJ YALETA VIFAA VIPYA VYA KAZI

RJ company ya Vicent Kigosi au RAY yaleta vifaa vuvya ya kazi hebu chukua muda wako kuvicheki hapa............

Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni yetu ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yako bora ya RJ Company..

Hapa tukianza kuifunga Camera mpya ya kisasa..

Tukiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

Kijana wangu Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera

No comments:

Post a Comment