CLOUDS MEDIA GROUP WAFUNGUA MSIMU MPYA LEO DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe ambae pia ni mdau kubwa
wa Muziki hapa chnini,pia alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji kwenye semini
hiyo iliyohusu na harakati rasmi za vita dhidi ya uharamia wa kazi za
wasanii,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa hoteli ya African
Dreams,nje kidogo ya mji wa Dodoma.kutakuwepo na kampeni ya matembezi ya
hisani ya harakati rasmi za vita dhidi ya uharamia wa kazi za wasanii
yatakayofanyika kesho,wabunifu na wavumbuzi mbalimbali, mseto wa shuguli
mbalimbali zitahusishwa.Pia kutakuwepo na burudani za kitamaduni na za sanaa za kisasa, chakula na mpira katika uwanja wa jamhuri
No comments:
Post a Comment