Mmoja wa wananchi wanaoshiriki katika ulinzi wa Pori la Akiba la Selou
akingoa jino la Tembo aliyeuawa na majangili na kisha kukurupushwa na
askari wanyama pori kabla hajafanikisha mpango wake wa kuchukua meno ya
tembo huyu. Wadau wa wanyamapori wanabashiri kuwa hivi sasa idadi ya tembo
wanauawa kwa ujangili ni kubwa mno kiasi cha kuhatarisha uwepo wa wanyama
hao katika kipindi kifupi kijacho endapo hatua za kukabiliana na ujangili
hazitachukuliwa haraka na kwa nguvu kubwa. Meno ya Tembo yaliyokutwa yakiungua kwa moto baada ya watu wanaosadikiwa
kuwa majangili.
No comments:
Post a Comment