DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza
kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu waliokuwa kwenye baa moja
hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote
na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika
maeneo hayo.
Chanzo cha habari kinadai kuwa
dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa...
No comments:
Post a Comment