Sunday, 19 May 2013

BREAKING NEWZ: VURUGU IRINGA

KUTOKA IRINGA:  Polisi wapiga mabomu ya machozi na kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara. 

Picha na habari zaidi ---> http://j.mp/15Y7qK0
KUTOKA IRINGA: Polisi wapiga mabomu ya machozi na kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara. Pichani ni baadhi ya matukio yakionesha wananchi kwenye vurugu hiyo...

 Hivi ndivyo hali ilivyokuwa baada ya Machinga kufunga barabara kuu ya Iringa - Dodoma na ile ya Mashine Tatu mjini Iringa leo.

Hali ikiwa tete eneo hilo.…



No comments:

Post a Comment