Napenda kumshukuru Mungu muda na wakati kama huu...Mimi binafsi ni mzima wa afya kabisa....!! Usiku wa Jana,Ulikuwa usiku wa kipekee sana kwangu lakini zaidi ya yote ulikuwa usiku wa Brother wangu Nay wa Mitego Aki Launch, Video yake Mpya ya Muziki Gani Ndani ya New Maisha Club Usiku wa Tarehe 26.5.2013 Tunapenda kuushukuru pia Uongozi mzima wa New Maisha Club, Usalama wa uhakika na Uongozi kuhakikisha Kila Jambo linaenda kama lilivyopangiliwa........ Shukrani Pia kwa my family and friends waliojitokeza pande zote mbili kuja kuona historia mpya ikiwekwa ndani ya muziki wa Bongo Flavour & Hip HopShukrani za Mwisho kabisa kutoka moyoni napenda kuwashukuru Mamia ya MASHABIKI waliojitokeza pale New Maisha Club....Bila kujali wingi wa watu zile Flowers na Ballerz waliotupia kinyama awakujali
Hali ya hewa ilivyokuwa ndani hadi kufikia vipulizo kushindwa kufanya kazi balabala,Lakini yote hayo bado awakukataa tamaa mpaka mwisho wa Show.....
Zifuatazo Ni Picha Zote za Matukio ya Jana kwenye Video Launching ya Muziki Gani...... |
No comments:
Post a Comment