Tuesday, 28 May 2013

ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA BIG BROTHER AFRIKA

Photos: Uzinduzi wa BBA “The Chase.” Nando & Feza Kessy waiwakilisha TZ rasmi

Picha za uzinduzi wa Big Brother Africa 8 (BBA “The Chase.”) Nando & Feza Kessy waiwakilisha Tanzania rasmi Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu  mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik. Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi
Mwakilishi wa Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa  kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo. Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo. Mwakilishi wa Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo. Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo.
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake. Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake.
Huddah Monroe, socialite na Boss Lady akiwakilisha properly na bendera ya Kenya Huddah Monroe, socialite na Boss Lady akiwakilisha properly na bendera ya Kenya.

No comments:

Post a Comment