Kutoka
Bungeni Dodoma tunapewa taarifa kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne
kuwa mabaya mwaka,hatimaye serikali imekubali mapendekezo ya awali ya
tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na
kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka
iwezekanavyo.
No comments:
Post a Comment