Saturday, 25 May 2013

MTOTO ALIYEZALIWA JELA ARUDI TENA KUMTOA MAMA YAKE

Mtoto aliyezaliwa jela, arejea na kumtoa mama yake gerezani..

Kanhaiya Kumari (kushoto) akiwa na mama yake, Vijaya mara baada ya mama huyo kuachiwa huyu
Kanhaiya Kumari (kushoto) akiwa na mama yake, Vijaya mara baada ya mama huyo kuachiwa huru
Mtoto mdogo wa kiume wa mwanamke ambaye amedhoofika kwenye jela kwa takribani miaka 20 nchini India kwa upungufu wa Pauni za Uingereza 119 katika pesa za dhamana hatimaye amehakikisha kuachiliwa huru kwa mama yake. Kanhaiya Kumari, mwenye umri wa miaka 19, alizaliwa ndani ya gereza na Vijaya, mwenye miaka 48, ambaye alikamatwa mwaka 1993 kwa kuhusiana na kesi inayohusisha mauaji ya mmoja wa majirani zake katika wilaya ya Aligarh nchini India.

No comments:

Post a Comment