RUGE ASEMA YUKO TAYARI KUONGEA NA LADY JAYDEE NA NAIBU WAZIRI
Lady Jay Dee IKIWA ni siku moja tu tangu Naibu Waziri wa Habari Michezo Vijana na
Utamaduni Amos Makala kutangaza hadharani kulivalia njuga suala la mzozo
kati ya Mkurugenzi wa wa Kampuni ya Clouds Media Group Ruge Mutahaba na
msanii nyota wa kike wa Bongo Fleva Judith ‘Wambura Lady Jaydee’ Ruge
ametoa ya moyoni.
kusema baada ya Makala kutamka kwamba atawaita wawili hao na kuzungumza nao
sambamba na kuleta suluhu.Mimi kama nilivyosema katika tamko langu kwamba nipo tayari tuitwe na watu ili tusikilizwe pande zote mbili ili ukweli uweze kujulikana iliongeza kuwa tayari ameshachukua utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kufungua jalada la kesi katika vyombo husika.
No comments:
Post a Comment