Sunday, 19 May 2013

DIAMOND NA NEY WA MITEGO WAKIFANYA VITU VYAO NDANI YA DAR LIVE

Pichani ni Diamond na Ney wa Mitego wakiwapa burudani wakazi wa mbagala na maeneo ya karibu katika Ukumbi wa DAR LIVE Mbagala zakiem.




Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki.
Ney wa Mitego akiwarusha wapenzi wa burudani.
Nyomi iliyoitikia shoo hiyo.…

No comments:

Post a Comment