Sunday, 5 May 2013

TOUR YA DIAMOND PLATINUM YAENDA VIZURI HUKO UINGEREZA

Diamond platinum amezidi kung'ara katika baadhi ya show zake huko uingereza. Hata hivyo anakaribia kumaliza ziara yake.

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZAKE AKIWA UINGEREZA

Napenda kumshukuru Mugu kwa siku ya jana na leo
pia na siku zote ambazo amekuwa
akinlinda kama mjaa wake......Nipo ziarani nchini uingereza
bado.....nikiwa mbali na nyumbani...!
Nashukuru ma fans wangu wote wanao ni support na
wanaonitia nguvu kwa ujumla....
The kid from Tz bado nakinukisha vibaya niakikishe
 historia inabakia hapa...!!
Nipo Mji mwingine mbali kidogo na Jiji lalondon,Reading.....
Namalizia show Yangu ya mwisho
kabla ya kugeuka home sweet home.....I Miss home...
I miss my Mama yangu Bi sandrah,I miss
my sister Esma khan,Halima kimwana na wote home
sweet home....much love to ya'll....
GOD BLESS U ALL...
Hii ni moja ya picha ambazo jana asubuhi nilikuwa
 nje ya hotel kulisha Bata...
Nchi za wenzetu viumbe hai wote wanathaminika...

Hapo akiwa na vijana wake wa kazi.........

No comments:

Post a Comment