Badhi ya Abiria wakiwa kituo cha mabasi mjini Lindi bila kuelewa hatma ya safari yao hii leo. baadhi ya mabasi yaendayo mtwara yakiwa mjini Lindi toka jana baada ya mgomo huo kuhofia usalama. Mmoja wa Madereva wa Mabasi akiongea na waandishi wa habari.KAMANDA wa Polisi mkoa wa Lindi George Mwakajinga akiwasihi madereva kuridhia kusindikizwa na polisi kwenda mtwara. Askari Polisi wakiwa tayari kwa ulinzi na kuyasindikiza mabasi hayo mpaka mkoani Mtwara.Zaidi ya Abiria 400 Waliokuwa wanafanya safari kati ya...Mtwara na Dar es salaam wamelazimika kusitisha safari zao na kuwafuata wamiliki wa mabasi hayo kuhofia usalama wao.
No comments:
Post a Comment