Saturday, 4 May 2013

HII NDIO KAULI YA GARDNER HABASH WA JAYDEE

Mume wa msanii lady Jaydee pichani alitoa kauli ambayo aliwaacha watu hoi




Gardner G Habash ‘Kapteini’.MUME wa Legend wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jadee’, Gardner G Habash ‘Kapteini’ aliwaacha watu midomo wazi baada ya kusema kama angekuwa hajaoa, basi angemuoa msanii anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Vanessa Mdee.
 Ningekuwa sijaoa kwa kweli ningemuoa Vanesa Mdee,” hii ilikuwa kauli ya Gardner au Kapteini ambayo iliwaacha watu wakishangaa.
Mbali na Vanesa, wasanii wengine wanaounda familia ya B Heatz walipata nafasi ya kutumbuiza katika hafla hiyo akiwemo mkongwe, Ally Baucha

No comments:

Post a Comment