RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia, mbele) akiwa katika Mkutano wa
Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis
Ababa leo Mei 25, 2013.
No comments:
Post a Comment