Yanayoendelea huko Afrika kusini katika hospitali ulipo mwili wa marehemu Albert Mangwea
Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea
Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa
Nje
ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa
Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample
ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na
mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha
miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu.
Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.
source: clouds fm
No comments:
Post a Comment