Muonekano wa Mchumba wa Ney wa Mitego cheki hapa..........
Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita.
Huyu ndie Mama Mtarajiwa......Jina lak anaitwa Siwema.....
Picha hii ukiangalia kwa umakini....dada wa katikati ndie mchumba wa Nay,anaglia kwa umakini picha kwenye tumbo kiumbe kikianza kuoenkana kwa mbali..... This Is Diamond Inamtakia kila Kheri Nay wa Mitego na Mchumba wake katika kipindi hichi chote mpaka kujifungua salama...Amani,Baraka na Upendo vishamili Juu yenu....!
No comments:
Post a Comment