Tuesday, 21 May 2013

MSANII PROF. J AJIUNGA CHADEMA

BREAKING NEWS : Prof. Jay ajiunga CHADEMA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA.
 
Hizi ni picha zikionesha wakati akipokea tiketi ya chama kama mwanachama halisi wa CHADEMA.
 
 
 Pichani ni wasnii wawili wakongwe wa Bongo fleva Pro. J na Mr. Sugu wakipeana mikono wakati wa makabidhiano ya kadi.
 

No comments:

Post a Comment