Friday, 24 May 2013

CHINUO ACHEBE AZIKWA JANA NCHINI NIGERIA

Picha za mazishi ya aliyekua mwandishi wa vitabu maarufu barani Africa marehemu Chinuo Achebe zipo hapa hebu chukua time yako kuziangalia.......

Jeneza lilibeba mwili wa marehemu Chinua Achebe....
Raisi wa Nigeria Goddlucky Jonathan...
Mmoja wa waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo Nigeria...
Raisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia waombolezaji...
 Mke wa Marehemu Christie Achebe
RIP Chinua Achebe..Tutaendelea kukumbuka vitabu vyako..

No comments:

Post a Comment