Picha za Watanzania wakiuaga mwili wa Ngwair Afrika Kusini
Msanii Bushoke akiwa katika pozi na mwenzake baada ya kuaga mwili wa Mangweha
Kinje na wenzake
Baadhi ya picha zikionyesha Watanzania wanaoishi Afrika Kusini wakiuaga mwili wa msanii Albert Kenneth Mangweha, pak Ngwair, aliyefariki dunia tarehe 28, mwezi uliopita. Mwili wa marehemu Ngwea unatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo saa nane mchana.
No comments:
Post a Comment