Monday, 17 June 2013

SAFARI YA DIAMOND KUTOKA IFAKARA KURUDI DAR ES SALAAM

Hii ni siku ya leo baada ya kumaliza kilichotuleta siku
 ya jana huku Ifakara....Tukiwa salama kabisa
na Team yangu ya wasafi tayari
kurudi home sweet home dar....

Picha Kadhaa tukiwa safarini kurud Dar.....!!
Kufika Njiani ilitubidi tusimame....Nilishangazwa na Mlima
huu ikatubidi kushuka na kushangaa vizuri
zaidi,,,hakika Tanzania yetu imebarikiwa.....



Wasafi Crew....Kutoka kulia kwenda kushoto ni Qboy Msafii,
Rama Mpauka,Mose Iyobo,I myself Presdent,Emma
Platnum & Dumi Utamu...!!
Eneo ili linaitwa Udzungwa....maeneo ya Morogoro...!
hahahaha furaha ilitawala ghafla juu yangu...
Swagg On....!
Blue n white,Red Kidogo Gold on Air....Fly as Me...!!



Hawa vijana bhana....wakataka kufanya gari la watu mti wa
 kurukia rukia..kisa tupo mkoani..!!

VIVUTIO  VYETU......


Nilivutiwa napo sana hapa,nilisimamisha safari kushuka na
 kupiga picha kwa ukumbusho
mandhari ya hapa ni murua sana......na wewe inakubidi
utembele maeneo haya...


HAPPY PEOPLE.....!!


Hondo Hondo Camp.....

No comments:

Post a Comment