HII NDIO RATIBA YA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU LANGA KILEO
Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo,
msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hosp
ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production. Mwili wa
marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya
hapo mwili utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa
kumi alasiri.
No comments:
Post a Comment