WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MH. BERNARD MEMBE AKIWA CLOUDS MEDIA GROUP
Waziri
Wa Mamo Ya Nje Na Ushirikiano Wa Kimataifa Mh. BernadMembe
akikaribishwa na Afisa Uhusiano Clouds Media Group Simon Simalenga
wakati akiwasili Ofisi Za Clouds Media Group Asubuhi Ya Jumatano
26/6/2013 Kwa Ajili Ya Mahojiano anazungumzia (1) Ujio Wa Barack Obama
(2) Ujio Wa Wake Wa Marais 14 Afrika (Taasisi Ya George Bush) Na (3)
Smart Partnership Dialogue Ambayo Inahusisha Ujio Wa Marais Wa Afrika
Ambapo Katika Mkutano Huu Watazungumzia Matumizi Ya Teknolojia Hasa
Katika Kilimo.
Afisa
uhusiano wa Clouds Media Group Bwana Simon Simalenga akiwa na Waziri wa
mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe akijiandaa
kuingia kwenye mahojiano katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM
Jumatano 26/6/2013.
No comments:
Post a Comment