Tazama Picha kilichojili ktk tamasha la siku ya muziki duniani
Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye tamasha la siku ya muziki duniani lilifonyika jana kwenye viwanja vya posta Kijitonyama Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo
Mratibu wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia) akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro (kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa.
Godzila
Ben Paul
Sarakasi pia zilikuwepo, kutoka makini kids
Msanii Nyemo
Barnaba na bendi yake
Jhiko Man
Kala Jeremiah
Tamasha hilo liliandaliwa na umoja wa ulaya wa taasisi za utamaduni
(EUNIC) na kudhaminiwa na Fastjet, Pepsi, Total na balozi za Ujerumani
na Ufaransa.
No comments:
Post a Comment