Tuesday, 4 June 2013

SAMAKI WA AJABU AVULIWA UNGUJA.....!! MCHEKI HAPA

pichani ni samaki wa ajabu aliyevuliwa huko Unguja

 
NI AJABU NA INASTAJABISHA:
Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samaki
huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi
wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu
aelewiki ni CHUI,DUMA au ni nini....
Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiaji
wa Habarika zaidi nawe ujionee haya maajabu ya duniani!!!!!

No comments:

Post a Comment