Mchezaji
wa timu ya Taifa wa Ivory Coast, anayekipiga na chama la Man City,
jijini London, Yaya Toure, akiwasali na wenzake kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jioni, tayari kwa ajili ya
kuwakabili Timu ya Taifa 'Taifa Stars' mchezo utakaochezwa siku ya
Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mchezo wa
kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2014, nchini Brazil.
Timu hiyo baada ya kuwasili Dar imeweka Kambi katika Hoteli ya Bahari
Beach nje kidogo ya Jiji la Dar.
Solomon
Kalou (kushoto) na Bakari Kone, wakiwasili......Timu hiyo imewasili
bila mshambuliaji wake wa kimataifa, anayekipiga na chama la Galatta
Salay ya Uturuki, Didier Drogba.
Mchezaji wa Arsenal, Gervinho, akitua katika ardhi ya Bongo
No comments:
Post a Comment