Saturday, 15 June 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU TIMOTH APIYO KARIMJEE LEO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mblele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, marehemu, Timoth Apiyo, aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, na baadaye mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Mara kwa maziko.
 Viongozi wakisimama kushiriki Misa maalum ya kumsalia marehemu.
 Asha-Rose Migiro, akipita kutoa heshima za mwisho...
 Baadhi ya Viongozi wakipita kuaga .............
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho mblele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, marehemu, Timoth Apiyo, aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, na baadaye mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Mara kwa maziko.
 Baadhi ya viongozi waliohudhuria shughuli hiyo ya msiba...
 Baadhi ya viongozi waliohudhuria shughuli hiyo ya msiba...
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, akisoma wasifu wa marehemu.....

No comments:

Post a Comment