Baadae balozi wa Tanzania Egypt alijitokeza na kukanusha taarifa za kunyongwa na akakubali kwamba kweli kuna
Watanzania wawili wamekamatwa ambao ni huyo msichana na ndugu yake wa
kiume ambao ni wakazi wa Magomeni Dar es salaam na kwamba wanashikiliwa
na polisi huku wakisubiri kesi yao.
Leo hii tunakupa nafasi ya kuona video ya
mahojiano ya TV na msichana huyu ambae anadai alikwenda Misri kumtafuta
binamu yake, begi alilokamatwa nalo ni lake ila alikua hajui kama lina
dawa za kulevya.
Video inaanza na kiarabu baadae anahojiwa kwa kiingereza...
No comments:
Post a Comment