KALA JEREMIAH AKIAMKABIDHI MAMA MZAZI WA MANGWAIR TUZO YAKE
Mama mzazi wa
marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya
mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za
Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14
No comments:
Post a Comment