Saturday, 22 June 2013

WANASHERIA WA MESSI WATAKA KUMALIZA KESI NJE YA MAHAKAMA


Mwanasheria wa Lional Massi wanasema madai ya ukwepaji wa kulipa kodi wamesema ni uzushi na kusema watafanya chochote kuya maliza na mwana sheria wa Juarez Veciana amesema katika taarifa yake mshambuliaji huyo wa Barcelona dhidi ya serikali ya Hispania hayana ukweli.
Messi na baba yake Jorge wametakiwa kufika mahakamani katika mji wa Gava karibu na Barcelona Septemba 17 mashtaka ya ukwepaji wa ulipaji kodi ya paundi milioni 3.4 kati ya mwaka 2007 na 2009.

Tunakubali kwamba mteja wetu alilipa kiasi anacho daiwa alisema mwanasheria wa messi Lakini tunaamini mteja wetu tunaamini kuwa kashalipa kiasi chote anacho daiwa.

Malalamiko hayo yana wafanya wa dhamini wa Messi kuchunguzwa ina wahusisha Barcelona ,Adidas ,Danone,Konami,Procter & Gamble,Pepsi-Cola na Telefonica na wengineo.

Wakikutwa na hatia Messi na Baba yake watalipishwa faini ya asilimia 150 ya mapato ambayo hawakulipaia kodi na kutupwa jela kati ya miaka miwili au sita.


No comments:

Post a Comment