Baada ya kutibuana na Lady Jaydee, Mwana FA ameamua kuvunja ukimya na kuwataka mashabiki wachukulie poa maana ni hali ya kawaida tu katika maisha ya kibinadamu.....
Ugomvi wa wasanii hawa ulianza
baada ya Mwana FA ku re -tweet post moja ya shabiki wake
ambayo ilikuwa ikiiponda show ya Lady Jaydee...
Lady jaydee alijaribu kumuonya mara
kadhaa lakini FA hakusikia na badala yake aliretweet post ya
shabiki mwingine ikimponda Lady Jaydee....
Uvumilivu ulimshinda Lady Jaydee na kuamua kujibu mashambulizi kwa kumuita Mwana Fatuma na na mengine mengi....
No comments:
Post a Comment