Baada ya watanzania kumwandama
Ommy Dimpoz kutokana na tusi alomtukana marehemu Ngwea, msanii
huyo ameamua kuwapigia magoti watanzania na kuwasihi
wamsamehe.....
Hali hiyo imekuuja baada ya watu
mbalimbali kutangaza kumsaka Ommy kwa lengo la kumwadabisha kwa
kumpa kichapo kikali...
Miongoni mwa watu hao ni TID ambaye
leo kupitia ukurasa wake wa facebook ametangaza vita dhiti ya
Ommy Dimpoz....
Hii ni post ya Ommy ambayo ameitoa akiomba asamehewe kwa kauli zake na matusi aliyoyatoa kwa marehemu Ngwea....
No comments:
Post a Comment