Friday, 21 June 2013

MSAKO KWA WAPIGA NONDO IRINGA WACHUKUA KASI



Huyu ni miongoni mwa wapiga nondo katika mkoa wa IRINGA akipokea kichapo kikali huku akiwa chini ya ulinzi mkali kuelekea kituo cha polisi, jamaa huyu anayefahamika kwa jina la MASTER, Amekamatwa mara tuu baada ya mwenzake kukamatwa leo hii asubuhi akidaiwa naye kuhusika na uharifu huo. hii imetokea mara tuu baada ya matukio ya namna hiyo kulipotiwa mara kwa mara siku za karibuni
                     
 Baadhi ya wananchi mkoani Iringa wakiwa na hasira na kutembeza kichapo kwa muharifu huyo kwakua wamechoshwa na matukio hayo yaliyokisiri sana mkoani Iringa

        
   Mtuhumiwa akiwa katika hali ngumu maana wananchi wana hasira sana na watu wa namna hiyo kuwafanyia unyama kwa kuwapiga nondo na kuwapora mali zao

 Wananchi wakiwa hawaogopi askari na wakiendelea kumpa kichapo mharifu huyo uku safari ya kuelekea kituoni ikiendelea

No comments:

Post a Comment