Tuesday, 18 June 2013

MSANII WA HIP HOP LANGA AAGWA JANA ANGALIA PICHA HAPA

Watu walioudhuhuria nyumbani alipokuwa akiishi marehemu Langa kwa ajili ya kumuaga msanii huyo wa Hip Hop Langa aliyefariki Alhamisi iliyopita 13/6/2013 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment